Exodus 40:33

33 aKisha Musa akafanya ua kuizunguka Maskani ya Mungu na madhabahu, pia akaweka pazia kwenye ingilio la huo ua. Hivyo Musa akaikamilisha kazi.

Utukufu Wa Bwana

(Hesabu 9:15-23)

Copyright information for SwhKC